Mhandisi Mzalendo
JF-Expert Member
- Aug 23, 2010
- 6,682
- 11,461
Habari wana Jamvi.
Nina swali kwenu. Mfano umekatia gari yako bima kubwa (premium) ambayo wakati wa kukatia bima ilithaminishwa kwa gharama ya 12m. Hapa gari yako ushakaa nayo miaka mitatu.
Je, unapopata ajali na wakaithaminisha kama total loss? Thamani ya gari itakua ipi? Na wanacalculate vipi? (Kama utataka kulipwa hela na kuachana na Salvage)
Mfano: Je wakati wanaifanyia tathmini watachukua thamani ya gari wakati unakatia bima yani 12m na kutoa gharama nyingine au wata angalia uchakavu wa ile miaka mitatu?
NB: Wakati unaingiza gari thamani yake ilikua 18m. Ila 3 years later walipokatia bima ikawekwa kwa thamani ya 12m.
Extrovert RRONDO na member wengine wenye ujuzi wa bima kubwa.