Wananbodi,
Nimekuja kivingine sababu wafanyakazi tunaonewa,kuna kitu kinaitwa BIMA tunashindwa kuelewa ni kitu gani sababu wanatukata fedha zetu halafu kutulipa inakuwa ni taabu sana,wanasema pesa hamna hivi mnazowakata wafanyakazi mnazipeleka wapi? Kama si utapeli na wizi wanaofanyiwa wananchi? Na kwanini mnang'ang'ania wasitoke? Je ni kwa faida ya nani hili shirika mbona kama wezi fulani kama halina manufaa na hawana wanachokifanya ni bora kuiua kabisa ,mishahara yetu ni midogo halafu bado Serikali hao hao ndio wanaotuibia pesa zetu,hivi mnataka tuishi maisha gani? Naomba mtusimamishie makato haya mnayotukata kwa kutusababishia maisha magumu