#COVID19 Bima ya Afya ina 'cover' chanjo ya COVID-19?

#COVID19 Bima ya Afya ina 'cover' chanjo ya COVID-19?

Red Giant

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2012
Posts
15,657
Reaction score
20,967
Chanjo iliyokuja ni chanjo 1m tu. Nchi yetu tupo watu 60m. Hatuwezi pewa chanjo zote bure, na serikali haitaweza kugharamia zote. Nauliza kama bima ya afya NHIF ina cover chanjo?

Mtu anapojiunga na bima ya afya, terms and conditions zinasemaje?
 
Chanjo iliyokuja ni chanjo 1m tu. Nchi yetu tupo watu 60m. Hatuwezi pewa chanjo zote bure, na serikali haitaweza kugharamia zote. Nauliza kama bima ya afya NHIF ina cover chanjo? Mtu anapojiunga na bima ya afya, terms and conditions zinasemaje?
Chanjo ni Bure.
Serikali imelimpa ma-bilioni kwa mpango Covax.
Ila mkataba unasema itangazwe kama msaada.
Beberu hawezi kalisha pumb* wewe uko kwenye kigodoro alafu akupe bure.

zitakuja nyingine kila anayetaka atachomwa.
Lakini hiyo 1 m mbona nyingi sana maana CCM wote wanapinga, na watu wa dini , na MATAGA, ispokuwa wasomi ambao ni wachache ndio wanakubali.
 
Chanjo iliyokuja ni chanjo 1m tu. Nchi yetu tupo watu 60m. Hatuwezi pewa chanjo zote bure, na serikali haitaweza kugharamia zote. Nauliza kama bima ya afya NHIF ina cover chanjo? Mtu anapojiunga na bima ya afya, terms and conditions zinasemaje?
Unashawishi kinamna ili iwe chanzo cha mapato? Wewe ni wale wa tozo nini???
 
Back
Top Bottom