HAPANAChanjo iliyokuja ni chanjo 1m tu. Nchi yetu tupo watu 60m. Hatuwezi pewa chanjo zote bure, na serikali haitaweza kugharamia zote. Nauliza kama bima ya afya NHIF ina cover chanjo? Mtu anapojiunga na bima ya afya, terms and conditions zinasemaje?
Chanjo ni Bure.Chanjo iliyokuja ni chanjo 1m tu. Nchi yetu tupo watu 60m. Hatuwezi pewa chanjo zote bure, na serikali haitaweza kugharamia zote. Nauliza kama bima ya afya NHIF ina cover chanjo? Mtu anapojiunga na bima ya afya, terms and conditions zinasemaje?
nisikilie, COVAX ni mpango wa nchi USA kusaidia maskini hohe-hae lakini kuna mkataba tutalipa taratbu.Hizi milioni moja tumepewa bure. Ni mpango kwa nchi maskini.
Unashawishi kinamna ili iwe chanzo cha mapato? Wewe ni wale wa tozo nini???Chanjo iliyokuja ni chanjo 1m tu. Nchi yetu tupo watu 60m. Hatuwezi pewa chanjo zote bure, na serikali haitaweza kugharamia zote. Nauliza kama bima ya afya NHIF ina cover chanjo? Mtu anapojiunga na bima ya afya, terms and conditions zinasemaje?
Wewe ni serikali? Mbona unataka kuilazimisha serikali itoze pesa?Hizi milioni moja tumepewa bure. Ni mpango kwa nchi maskini.