Ni kwa KILIMANJARO. Nawaza sijui nianzie tuu Mawenzi Hospt au niende private hospt.Ni baadhi ya hospitali ndio zinakubali kukuhudumia ndugu, ilinikumba mimi nimepatashida mno, ubabaishaji mwingi. Ila usife moyo jaribu kwenda na kuangalia itakavyokuwa pengine zone hiyo ni wastarabu.
Iliniokoa hapo MOI.Hi wadau!
Naomba kuuliza kwa nayefamhamu. Je Bima ya NHIF inalipia kipimo cha MRI??