kiu ya haki
Senior Member
- Jul 17, 2015
- 103
- 55
Habari wakuu,
Napenda kufahamu kuhusu sheria ya mfanyakazi katika kampuni binafsi ndani ya Tanzania je ni haki wafanyakazi kupewa bima ya afya bila dependant wao kimfano employee amepewa bima ya afya kisha akaambiwa atapata yeye tu mke na mtoto hawatapata.
Wafanyakazi wengine wameinclude dependant wao wengine wamepewa limit kuwa na dependant mmoja tu.
Je, hii imekaaje kisheria kuna haki na usawa kweli hapa?