Bima ya afya kwa wote kuja na “kibano” cha upatikanaji wa baadhi ya huduma

Bima ya afya kwa wote kuja na “kibano” cha upatikanaji wa baadhi ya huduma

Sildenafil Citrate

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2021
Posts
577
Reaction score
2,595
Muswada wa sheria ya bima ya afya kwa wote umesomwa bungeni kwa mara ya kwanza mwezi Septemba, 2022.

Kwa mujibu wa kifungu cha 32, muswada huo umeweka zuio la upatikaji wa baadhi ya huduma muhimu kwa wananchi pasipo kuwa na bima ya afya.

775EC701-092F-45E9-A451-7CDEB9DBEA2F.jpeg


Inasomeka
Zulo la kupata haadhi ya huduma pasipo kuwa na bima ya afya

32. Kwa kuzingatia sheria zilizotungwa na Bunge, mamlaka zinazohusika na usimamizi au utoaji wa
  • leseni ya udereva;
  • bima za vyombo vya moto;
  • utambulisho wa mlipa kodi;
  • usajili wa laini za simu;
  • leseni ya biashara au
  • hati ya kusafiria au viza;
  • uandikishaji wa wanafunzi wa kidato cha tano, kidato cha sita na vyuoni; na
  • utoaji wa kitambulisho cha Taifa,
Zitahakikisha kuwa usajili au utoaji wa vibali, hati au leseni kwa waombaji unazingatia kigezo cha uwepo wa uthibitisho wa uanachama katika skimu ya bima ya afya.
 
Back
Top Bottom