Bima ya afya na miwani

kivyako

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2012
Posts
14,340
Reaction score
12,055
Ndg wadau, naomba kuuliza km bima ya afya (nhif) ina.cover na gharama ya miwani ya macho na km haijumuishi ni wapi naweza kuipata kwa bei ya kupoa kidogo na bila zengwe. Mi natumia photocromic, asanteni.
 
We upo wapi? bima wanagharimia sh.15000 sijui kama watakuwa wameongeza
 
na kwa bei hiyo unapata yale mawani ya kizamani sana,
kwingine miwani bei ni 150,000/= tena uitoe mfukoni kwako,
sijajua ni kwanini bima walisahau kuweka miwani nzuri.

Asante Mamndenyi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…