Bima ya afya ya daktari NHIF (regular) haiwezi kulipia/ku-cover baadhi ya huduma za matibabu kama fast tract n.k wanazopata wagonjwa anaowahudumia

Bima ya afya ya daktari NHIF (regular) haiwezi kulipia/ku-cover baadhi ya huduma za matibabu kama fast tract n.k wanazopata wagonjwa anaowahudumia

a sinner saved by Christ

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2017
Posts
611
Reaction score
993
Nilitegemea bima ya afya ya daktari imuwezeshe kupata huduma zote za matibabu na kwa haraka fast track,na vvp.

1)Kwa kuwa daktari anahudumia wagonjwa kama viongozi wa kisiasa n.k ambao wao BIMA ZAO zina wawezesha kupatiwa matibabu ambayo bima ya daktari mwenyewe anayewahudumia haiwezi kulipia,
??NAPENDEKEZA bima zao hawa madaktari wetu ziwezeshwe ili madaktari wetu nao waweze kupata matibabu sawa na wabunge mana wao ndio wanaowahudumia hao viongozi ,ila wao madaktari wakiugua bima zao haziwezi kilipia huduma hizo hizo wanazowapatia wahudumia wengine.
 
Hata walimu walipwe kuliko samia maana walimfundisha
 
NHIF au kampuni yoyote ya bima hawawezi kukubali hicho kitu maana ni hasara kwao
 
HOJA/MADA iliyopo mezani ni bima za afya NHIF za madaktari ziwawezeshe na wao madaktari pindi wakiugua kupata matibabu SAWA na wagonjwa wanaowatibu .
 
Nadhani wanaangalia contribution unayotoa, pia idadi ya wanufaika, watu wa afya ni wengi sana kuwapa hizo huduma ni hasara
 
Back
Top Bottom