Nilitegemea bima ya afya ya daktari imuwezeshe kupata huduma zote za matibabu na kwa haraka fast track,na vvp.
1)Kwa kuwa daktari anahudumia wagonjwa kama viongozi wa kisiasa n.k ambao wao BIMA ZAO zina wawezesha kupatiwa matibabu ambayo bima ya daktari mwenyewe anayewahudumia haiwezi kulipia,
??NAPENDEKEZA bima zao hawa madaktari wetu ziwezeshwe ili madaktari wetu nao waweze kupata matibabu sawa na wabunge mana wao ndio wanaowahudumia hao viongozi ,ila wao madaktari wakiugua bima zao haziwezi kilipia huduma hizo hizo wanazowapatia wahudumia wengine.