Kama ni mabaya yoyote yanafanyika sio yeye ni watendaji wake..., ila kama kuna zuri lolote hata lile ambalo hatulifahamu tafadhari tueleze ili tuongeze kwenye sifa zake za kuupiga mwingi
Tatizo kubwa la hizi taasisi za umma uwa zinakulupuka kuanza kutoa huduma fulani bila kufanya utafiti baadaye wakiona wamezidiwa wanasitisha huduma na matokeo yake watu wanalalamika.