Red Scorpion
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 5,736
- 4,252
Nilikuwa kwa mganga wa jadi, baada ya matibabu akawa anadai malipo si ndo nikamuonyesha bima ya afya... Kilichotokea hata mi mwenyewe ckumbuki ila nimejikuta niko Lugalo juu ya bati sijui hata ni nyumba gani ila naona kama wanajeshi kwa chini.
[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23]