Bima ya Afya

Bima ya Afya

Youngstunna

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2016
Posts
266
Reaction score
300
Wakuu habarini za mchana mko poa ? Jamani naomba kujua taratibu za kupata bima ya afya (NHIF) au hata nyinginezo..
 
Nimejiajiri mkuu
Nenda Ofisi za BIMA Mkoani kwako watakupa Package bora kwako..
Au hudhuria Hospitali Yoyote ya Wilaya ,Mkoa,Kanda au Yoyote iliyokaribu na Wewe uliza kitengo cha Bima watakupa A,B,C uanze wapi
 
Asante sana mkuu
 
Wakuu habarini za mchana mko poa ? Jamani naomba kujua taratibu za kupata bima ya afya (NHIF) au hata nyinginezo..
Utaratibu huo apo
Vifurushi%20sheet%20bei.jpg
MAFAO%20KWENYE%20VIFURUSHI_.jpg
 
Back
Top Bottom