Kuku wa Kabanga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2009
- 807
- 368
habari wanajf,nina duka langu la rejareja nataka kulikatia bima,hii kitu ipo bongo?na kampuni ipi nzuri?naomba uzoefu na hata utaalam ktk hili.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nakushauri usikatie katika makampuni ya bima ya serikali kwani incase of claims huwa hayalipi