Ipo sana hiyo. ningekushauri ukatie bima kupitia kwa Broker kuliko wewe kwenda moja kwa moja kwenye kampuni ya bima . utapata usumbufu sana kufuatilia likitokea tatizo. lakini broker yeye atakomaa nao mpaka unalipwa kwasababu yeye ndo anawapelekea biashara kila wakati anakuwa anafahamiana nao kwa karibu tofauti na wewe ambaye unakuwa umewapa biashara moja tu.