Bima ya gari ya muda mfupi

DENAMWE

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2019
Posts
862
Reaction score
871
Nahitaji kukata bima kubwa [comprehensive] ya gari ya muda mfupi.

Muda huo ni miezi mitatu au sita.

Inapatikanaje/nafanyaje?
 
Nahitaji kukata bima kubwa [comprehensive] ya gari ya muda mfupi.

Muda huo ni miezi mitatu au sita.

Inapatikanaje/nafanyaje?
... kwa sasa utaratibu huo umefutwa; unatakiwa kukata mwaka mzima. Pili, stika hazitolewi tena kama zamani, badala yake inaangaliwa (wewe, trafiki, or whoever is concerned) moja kwa moja kwenye mtandao wa TIRA; tiramis.tira.go.tz. Kama mfuko ni kikwazo the only option ni kukata third-party (at your own risk of course).
 
Nashukuru kwa ufafanuzi.
 
Mbona mi nilikata ya miezi 6, wamefuta lini huu utaratibu mana yangu inaisha june
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…