Kwa kawaida ukichukua comprehensive Kwa kampuni yazofanya nazo kazi ntakucharge 3% ya thamani ya Gari then toka mwaka Jana mwezi wa Saba serikali imeweka 18% Kwa kila pesa ya bima unayolipa.
So Kwa ghalama ya 12 mill utatakiwa kulipa 424,800 Kwa mwaka , Kwa third party ni flat rate ni 100,000 + VAT ambayo total itakuwa 118,000 tu Kwa mwaka.