Wakuu naomba kufahamishwa kuhusu jambo hilo.
Nilikuwa na mkopo benki ya Nmb na nilipomaliza marejesho niliendelea na mambo yangu ila leo katika nazungumzo ba wadau nimeambiwa fedha zilizokatwa kwenye mkopo kama bima ya mkopo zinarudi kwa mkopaji baada ya kumaliza marejesho.
Naomba ukweli wa hili kwa mwenye ufahamu ili kesho niamkie benki kudai changu.