Bima ya mzigo

Bima ya mzigo

JFK wabongo

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2015
Posts
3,887
Reaction score
3,197
Wakuu,
Ni kamapuni ipi inatoa bima kwenye mizigo inayosafirishwa kwa malori hapa nchini? Je gharama zikoje?
Kwa anayejua tafadhari.
 
Wadau vipi mbona mnachungulia tu? Mwenzenu biashara ya kusafirisha mizigo kwa bahati nasibu sitaki tena. Kwa usawa huu ukiambiwa Lori lenye shehena yako limekula mueleka unaweza ukawa chizi bure.
 
mkuu kuna kampuni nyingi tu zinazotoa huduma ya bima ya mizigo(goods in transit) na gharama inategemea na thaman ya mzigo aidha utataka wakulipe thaman yote au nusu(limit of liability) lakin pia unatumia usafiri wako au wa transporter wengine.
 
Sawa, mi nataka walipe mzigo wote. Kuhusu transporter nafikiri kama ni wazoefu watanishauri atakayenifaa.
 
basi mkuu zingatia gharama ya mzgo na kama ni containerized au loose cargo gharama itategemea hapo.kama vp unaweza nicheki PM tukaongea zaid.
 
Wadau vipi mbona mnachungulia tu? Mwenzenu biashara ya kusafirisha mizigo kwa bahati nasibu sitaki tena. Kwa usawa huu ukiambiwa Lori lenye shehena yako limekula mueleka unaweza ukawa chizi bure.
Unaonaje kama ukijishughulisha na kubeba mizigo isiyo ya thamani sana?, Kwangu mimi mizigo yenye thamani ni big no unajipa presha bure , si afadhali hilo gari lianguke labda unaeza ukaonewa huruma , kuliko ukutane na wazee wa kazi wafaulishe mzigo hata kujitetea huwezi unaonekana umeuza na si ukibiwa
 
Ndiyo maana nilitaka kampuni ambalo litahakikisha mzigo unafika, ukipigwa njiani hasara kwao. Muda huu ukipigwa capital unaweza kugeuka yule bilionea wa viroba.
 
Back
Top Bottom