JFK wabongo
JF-Expert Member
- Aug 11, 2015
- 3,887
- 3,197
mkuu kuna kampuni nyingi tu zinazotoa huduma ya bima ya mizigo(goods in transit) na gharama inategemea na thaman ya mzigo aidha utataka wakulipe thaman yote au nusu(limit of liability) lakin pia unatumia usafiri wako au wa transporter wengine.Wakuu,
Ni kamapuni ipi inatoa bima kwenye mizigo inayosafirishwa kwa malori hapa nchini? Je gharama zikoje?
Kwa anayejua tafadhari.
Sawa, mi nataka walipe mzigo wote. Kuhusu transporter nafikiri kama ni wazoefu watanishauri atakayenifaa.mkuu kuna kampuni nyingi tu zinazotoa huduma ya bima ya mizigo(goods in transit) na gharama inategemea na thaman ya mzigo aidha utataka wakulipe thaman yote au nusu(limit of liability) lakin pia unatumia usafiri wako au wa transporter wengine.
basi mkuu zingatia gharama ya mzgo na kama ni containerized au loose cargo gharama itategemea hapo.kama vp unaweza nicheki PM tukaongea zaid.Sawa, mi nataka walipe mzigo wote. Kuhusu transporter nafikiri kama ni wazoefu watanishauri atakayenifaa.
basi mkuu zingatia gharama ya mzgo na kama ni containerized au loose cargo gharama itategemea hapo.kama vp unaweza nicheki PM tukaongea zaid.
Mkuu naomba nitafute kwa namba 0658 186020 nitakupa maelezo kuhusu Goods in Transit Insurance cover kwetu.Wakuu,
Ni kamapuni ipi inatoa bima kwenye mizigo inayosafirishwa kwa malori hapa nchini? Je gharama zikoje?
Kwa anayejua tafadhari.
Unaonaje kama ukijishughulisha na kubeba mizigo isiyo ya thamani sana?, Kwangu mimi mizigo yenye thamani ni big no unajipa presha bure , si afadhali hilo gari lianguke labda unaeza ukaonewa huruma , kuliko ukutane na wazee wa kazi wafaulishe mzigo hata kujitetea huwezi unaonekana umeuza na si ukibiwaWadau vipi mbona mnachungulia tu? Mwenzenu biashara ya kusafirisha mizigo kwa bahati nasibu sitaki tena. Kwa usawa huu ukiambiwa Lori lenye shehena yako limekula mueleka unaweza ukawa chizi bure.
Ndiyo maana nilitaka kampuni ambalo litahakikisha mzigo unafika, ukipigwa njiani hasara kwao. Muda huu ukipigwa capital unaweza kugeuka yule bilionea wa viroba.Unaonaje kama ukijishughulisha na kubeba mizigo isiyo ya thamani sana?, Kwangu mimi mizigo yenye thamani ni big no unajipa presha bure , si afadhali hilo gari lianguke labda unaeza ukaonewa huruma , kuliko ukutane na wazee wa kazi wafaulishe mzigo hata kujitetea huwezi unaonekana umeuza na si ukibiwa
Ntakucheki mkuuMkuu naomba nitafute kwa namba 0658 186020 nitakupa maelezo kuhusu Goods in Transit Insurance cover kwetu.