BLUE BALAA
JF-Expert Member
- Nov 30, 2010
- 1,222
- 776
BIMA YA AFYA NI NZURI SAANA. Bima ya afya inapatikana hosp zote na inapotokea dawa hujapata kuna maduka ya dawa yanayotoa dawa kwa bima na hakuna usumbufu ukipewa form ya kuchukua dawa. PIA RAHA YA BIMA UNAIPATA KAMA UNA MATATIZO YATAKAYOHITAJI VIPIMO VYA GHARAMA KWA MWANACHAMA/TEGEMEZI. TukUMBUKE NI WAFANYAKAZI WANGAPI WANAOWEZA KUWEkA TAHADHARI YA FEDHA KWA MATIBABU AU KUWATUMIA WAZAZI WAO NA TEGEMEZI WAO FEDHA KILA MWEZI HUKO VIJIJINI ? kuMBUKA BIMA FEDHA YAKO IMEKATWA TAYARI KAMA WATENDAJI WANAKUFANYIA Mzaha UNAHAKI TENA ZAIDI YA KUWABANA WATOA HUDUMA NA USINUNGUNIKE CHINICHINI. Bima ya afya iwe kwa watu wote mf. Wakulima ,wafugaji, wafanya biashara nk. Ni mambo yaliyopo ktk nchi za wenzetu zilizoendelea.
wewe ushatibiwa hospitali gani na mambo yakaenda kama ulivyo andika? Yote hayo hayafanyiki. Mimi nimeshafanya research.
ndugu kwanza pole na hiliWewe ushatibiwa hospitali gani na mambo yakaenda kama ulivyo andika? Yote hayo hayafanyiki. Mimi nimeshafanya research.
Unazungumzia NHIF au hao wengine................... Maana kama ni hao wengine wala sikubaliani na wewe............. Labda hiyo NHIF yenuSerikali imeweka bima ya afya kwa ajili ya watumishi wake, vivyo hivyo mashirika ya NSSF/PPF etc wameweka ajili ya wanachama wake. Natumai wanachama kuna kiasi wanakatwa na kupewa kadi.
Shida ni kwamba ukishafika hospitali wakigundua wewe una bima ya afya basi matibabu yanakuwa tabu na mwisho utaambiwa dawa hakuna uende pharmacy ukanunue. Je bima hii ya afya iba faida gani?
Kama kuna mtu ambae amesha faidi ipasavyo naomba ani kosoe lakini pia aseme ni hospitali gani amepata huduma.