Bima za afya ni hatari sana kwenye vituo binafsi vya afya

Yani hospital binafsi wanafanya kazi km waganga wa kienyeji wapiga ramli kazi yao kubwa ni uchonganishi, vitisho na kuingiza pesa, hii mbaya sana hiyo na huu mchezo upo sana miji mikubwa,, wakithibitikq wasifutiwe leseni tu wanyongwe kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…