Bimmer na Landcruiser V8

Zote ni diesel hapo hio audi ni diesel ya 2L
 
Sure ndo mana hata hivi viguta vibajaj miaka miwili chali ..power yake haiendani na mzigo inabeba ...engine mida wote ina operate more than 70% ya uwezo wake wat next??🤔

Kutumia scania yenye hp 310 kama pulling na r420 kama pulling mzigo sawa hio r420 ina maisha mengi zaidi
 
Yeah kuna siku nasoma nikaipenda hio audi napata same hp kama kwenye cruza hii 1hd ila badae nikaona ile engine ndogo inatoa output kubwa sawa na ile ya 4.2L thou Toyota wanauwezo wakuipa power zaidi ila wamestick hapo moja kwa moja ile engne ndogo itakufa mapema pia haiwezi tembea umbali inaenda 1hd bila kusimama

Mfano sa hivi kuna 1gd ftv hii imeanzia kwa prado 2015 na gari flan kwa ajili ya us market later ikaja kwa hilux na hiace na fortuner ina 2.8L mwanzo walianza na 177hp now imefika 202hp kwa model ya mwaka jana nadhan hii ni kama output ya 1hd ftv yenye intercooler kabisa ndo inatoa hizo hp hata video zake youtube ina perform sawa na cruza LX tena hapo imetumika yenye 177hp tofauti yake na v8 lc 200 mfano quarter mile wamepishana kidogo sana ila hio engne for that output haiwezi kaa sana otherwise huiminyi labda ila ukitaka fukuzana na mwenye lx utaenda taga sehemu uletewe bili milion 5
 

Sikilizeni.

Engine kuwa na maisha marefu haihusiani kabisa kuwa na ukubwa au udogo wa engine.

By default engine za diesel zina maisha marefu kuliko engine za petrol.

Diesel ni light oil wakati petrol ni detergent.

Kwa maana hiyo diesel inalubricate engine hivyo engine na maisha marefu wakati petrol inawash away oil kutoka kwenye engine hivyo kuzidisha wear and tear.

Swala la engine ndogo kutoa HP has nothing to do with life time ya engine. Hivo.
 
Kwa hio unataka sema hio audi A4 diesel 2L inamaisha marefu sawa na 1hd ....🤔🤔 Sisi tumeenda nunua 1hz enyewe ina kilometa laki tano kasoro tunaona ni mpya bado yani ndo tunaendeleza hapo ..sasa kanunue hio audi popote kama imegonga kilometa laki mbili tu utaniambia itakavokuwa
 
Aisee cc kwenye gari inaamua urefu wake wa kufanya kazi..
Maisha marefu ya diesel yana sababu nyingi..
Block ya diesel inakuwa steel zaidi ya petrol.. Sababu ya compression ignition tofauti na spark ya petrol..
Diesel engine inafanya kazi kwenye low rpms.. Little wear ya block walls..!
Pia maintenance yake ni kubwa zaidi ya petrol..!
Suzuki jimmy ya 660cc haiwezi kuwa na maisha sawa na ya 1300cc..!
 

Lete engine ya kisasa ya toyota.

Sasa ndugu yangu 1HZ ni kama haina sensor hata moja.

Hebu lete engine ya kisasa ya toyota ambayo tunaweza kuilinganisha na EA288 ya Audi.
 
Niletee engine ya petrol yenye maisha marefu.
 

Cc haziamui urefu wa maisha ya engine....


Angalia hiyo video jamaa ndio alikuwa anafikisha 500000Km na VW Golf 1.6 TDI...

Na gari anasema bado kabisaaa yaani mfano kama Turbo na DPF bado ni zile zilizokuja na gari...

Tena hiyo ni engine ya Kisasa, siyo zile za kizamani. Gari ya 2009 hiyo.

Halafu soma na comment za watu. Kuna mtu kasema hapo ana gari ina Cc1300 halafu ina turbo na ina zaidi ya 400000Km.

Hizo video zipo nyingi sana mtandaoni.

Hapo unasemaje?
 
Aisee cc zinaamua urefu wa engine.. 500000kms ni impressive.. Bigger engine itafanya 1M..!
 
Hiyo video niliyokupostia hiyo engine bado ina safari ndefu sana....

Ndio maana nimekushauri unangalie hizo videos youtube.

Kuna gari za mjerumani zina mpaka 900000Km na bado zinadunda na zina engine ndogo.
Yaani kama engine ndogo inaweza hivyo.. Kubwa itaweza zaidi.. Kuna lorry zinauzwa mtumba.. Kms zaidi ya 1M..
Hizo gari ndogo bado kuona..
Ukubwa wa engine ndio kila kitu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…