Bimmer na Landcruiser V8

Pamoja na kwamba Trackhawck ana HP kubwa ila kuna gari zina HP ya kawaida zinamkalisha mchana kweupe.

Porsche Cayenne Turbo GT
BMW X6 Competition

Hawa wadudu wawili ni bad news linapokuja suala la mbio.
Mbona hamumtaj audi wakat naye hzo rs ni moto wakuotea mbal kuliko bimma
 
Aisee kuna basic mechanisms za engine naona bado hujazipata..
2.0tdi ni diesel engine.. Umeshawahi kuona diesel engine ya gari yenye hizo rpms!!!?

Rpms za kurelax ukiwa unaendesha ndio unazifeel.. Gari hailalamiki..!
How do you know the engine is relaxed?

Engine ikiwa relaxed inakuwaje? Na isipokuwa relaxed inakuwaje? Show us the difference.

Huo ni mfano by the way.
 

Utofauti wa engine za trucks na gari ndogo mbona unaeleweka.

Zote ni IC engines za diesel ila mfano angalia kama block ya 114 inafanana na block ya 1hd... angalia cylinder head n.k. njoo pia kwenye materials zilizoyengeneza hizo engines.

Ile 1.6 TDI niliyoleta jana ni gari ya 2009. Ila 500k Km, Je ile ni engine ya zamani?
 
Misunderstanding hapa.. Mimi naongelea engine kubwa na ndogo kwenye gari sawa..!
Hapa ndio umuhimu wa cc za gari..!
Ndio maana nimepoint out gari zinazofanana..
Jimmy ya 660cc na 1300cc
Passo piston 3 na 4..!

Jimmny 660cc na 1300cc ni gari za uzito tofauti.

Whats your point?
 

Wewe unaleta story za vijiwe vya kahawa.

Kwa hiyo 1.6L TDI hapa mpaka mwanza unatakiwa usafiri nayo kwa speed gani ili utoboe?
 
Rpms zitakuambia.. Ukiwa unakaribia redline ndio less relaxation..!

Mfano uwe realistic... Maana niliweka mfano wa Scania ikawa nongwa..
Simple reasoning..!!!
 
Niletee 1hd yenye kilometre milioni

80 series yenye 1m nimeona na tundra ndo zipo nyingi
 
😁😁😁
 
Naona mfa maji bado unatapa tapa ok je zikitunzwa zote unataka sema hio ya 2l itaishi sawa na 4l?
 
Ni kwa tz nenda kenya utashangaa serikali zipo na vw zakutosha
 
Scania moja ikibeba 500kg na nyingine ikabeba 1000kg. Ipi iko stressed zaidi?
Aisee huo uzito wa mzigo kwa Scania haitafeel chochote..
Sababu gari yenyewe tuu ni nzito zaidi ya huo mzigo..!
Unlike Suzuki jimmy.. Ukiongeza mtu mmoja tuu nyuma wa 80kgs utafeel gari kabisa ina mzigo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…