Bimmer na Landcruiser V8

Aisee hizo ni kama vile umefaulu mtihani bila kusoma.. Huwa inatokea..!
Ndio maana inakuwa documented.. Ni kitu cha kushangaza..
Ila haibadilishi design ya engine ndogo parts zake sio span sawa na engine kubwa..!
 
Naona mfa maji bado unatapa tapa ok je zikitunzwa zote unataka sema hio ya 2l itaishi sawa na 4l?
Kipi kinafanya ife kama inatunzwa vizuri?

Labda body ichoke mapema kuliko engine.

So far sioni sababu ya engine inayotunzwa ife.
 
Kipi kinafanya ife kama inatunzwa vizuri?

Labda body ichoke mapema kuliko engine.

So far sioni sababu ya engine inayotunzwa ife.
Aisee hizi ndio experience na reasoning ulikuwa unanitell!!!?

Yaani a well cared engine block ya 100,000 itakuwa sawa na block mpya..!!!?
Unaelewa jinsi hizi engines zinavyofanya kazi..!!? Unaelewa movements ya parts ndani ya engine!!?
Kwahiyo ukitunza engine utaitumia forever..!!!?

Pita humo kwanza.. Ndio maana nakueleza theories ni muhimu.. Wewe Unasema kukariri..!!
 
Aisee hizo ni kama vile umefaulu mtihani bila kusoma.. Huwa inatokea..!
Ndio maana inakuwa documented.. Ni kitu cha kushangaza..
Ila haibadilishi design ya engine ndogo parts zake sio span sawa na engine kubwa..!

Me nimekuletea engine ndogo tena kibao zenye 1,000,000Km.

Vipi unaonaje ukiniletea 1HDT, 1VD and the likes zenye 2,000,000Km?

I think itamaliza mjadala.
 
Hahaha sasa hizo engines kubwa huwa hawadocument sababu ni jambo la kawaida..
Nitasearch na mimi.. Nikipata nitashare..!
 
😁😁 Vitz enyewe ina kuja na kwanzia 1L hadi 1.8L sasa sijui anamaanisha hesabu gani yeye za kuchagua engine wakati body lile lile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…