Bimmer na Landcruiser V8

Sijaona speed hapo
 
Hahahha ndio maana namwambia huyo chalii hio GX V8 ni kama Tank! Yani inafukia rasta na ma bumps kama utani vile [emoji28]

Wakati wewe unarudi 30KPH kuruka bumps mwenzio analipanda na 100KPH gari inanepa tu na kutembea [emoji28]
we jamaa kwenye landcruiser v8 unaweza mpiga hta mtu migumi ya roho aisee[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Nitaendelea kuipa heshima zake BMW... hakuna sedan ya kijapan inaweza kuipita V8 namna hiyo.
BMW ni zaidi ya Toyota Kwa kila kitu
 
Waterbender na wenzako ebu angalia V8 inavyokalishwa na Toyota EA 86..hii ni gari ya mwaka 1986 ni 5 speed transmission
Your browser is not able to display this video.
 
Sasa Landcruiser ndio gari ya kuipima mwendo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…