Bimmer na Landcruiser V8


Wajapani wenzako wamekunja sura huko....

Wanatafuta namna wakuchome moto....

Mi nililetewa Vieite ilienda tu kigoma hivyo ikawa imetembea kwenye vumbi kipande kirefu... Iliwasha check engine kuja kupima MAF sensor ishafanya yake...

MAF sensor yake used 250k hadi 300k...

Sasa hapo kuna tofauti gani na mjerumani?
 
Mbona kama umetumia muda mwingi sana kumpita, sio kuwa jamaa alishuka kidogo mwendo uendelee na mbio zako?
Observation nzuri.. Hapo tulikuwa kwenye high speed.. Kwahiyo gari inachukua muda mrefu kutoka 160-210.. Tofauti na 60-110.. Hakupunguza mwendo..ungeona taa za brake zimewaka kama ameshika brake.. Mbio za panya zilifika ukingoni..!
 
Kabisa mkuu. Shida ni kwamba, vijana wakishanunua bmw 1 series ya m15 baasi wanaona wamemaliza na kutaka sifa za kijinga za kujidanganya kujilinganisha na LC sababu sahani yake inasoma juu ya 180 na mlango ukiufungua ni mzito.
Ume fail sana, ushindanishe BMw serise 1 ya 15 million na LC V8 .. papambanisha gari ambazo zipo class moja na thamani moja
 
Shockups OG za Toyota Harrier ni 1.4M.

Shockups OG za BMW X3 ni 1.3M.

Hizo ni shockups tu.

Set 1 ya taa za LC200 ni 1.2M.

Nenda huko Nduvini na garage za Toyota uzione hizo LC zilivyopaki.

Nilishawahi ona bill ya maintanance ya LC200 imefika 6M.

Wengi tunanunua vitu used tandale tunaona toyota ni nyepesi kuzimantain ila likija suala la kununua spare OG, tutahamia bajaj wote.

Angalia watu tunavyolia na magari kama Subaru, Mazda, Nissan n.k kwasababu hawana mambo ya kuungaunga.
 
.. Hakupunguza mwendo..ungeona taa za brake zimewaka kama ameshika brake..

Okay sir...

Ila mkuu si unajua kwa safari za mikoani/ndefu huwa si lazima ushike breki kupunguza mwendo, sehemu kama hizo mtu anataka kupita unaachia tu accelarator pad gari inapungua mwendo yenyewe...breki unaitumia pale tu unataka usimame kwa haraka au kwa ulazima...
 
Ume fail sana, ushindanishe BMw serise 1 ya 15 million na LC V8 .. papambanisha gari ambazo zipo class moja na thamani moja
LC 200 ina top 381hp.

LC 300 ina top 421hp top speed 260kph.

BMW X5M competition ina top 625hp top speed 300kph.

Hapo hujawaweka kina Cayenne Turbo, AMG GLE 63S n.k.

Halafu mtu anakwambia LC itafika haraka destination kabla ya hao wadudu.
 
LC 200 ina top 381hp.

LC 300 ina top 421hp top speed 260kph.

BMW X5M competition ina top 625hp top speed 300kph.

Hapo hujawaweka kina Cayenne Turbo, AMG GLE 63S n.k.

Halafu mtu anakwambia LC itafika haraka destination kabla ya hao wadudu.
Wapambe hao. Kuna vingine unaawaacha waendelee kujifurahisha huku wanajua ukweli.. LC inakaa kwa gari nyingi sana za ulaya bila matatizo huyo unampa tu hata Amarok V6 bado itamchapa
 
Aisee huwezi kusema umepunguza mwendo kwa kuachia accelerator pad.. Upo kwenye mteremko ukiachia pad gari inapungua mwendo!!!?
Hizo assumptions zinakuwa nyingi.. Sisi tucheze na taa za brake tuu..!usije sema labda taa mbovu..!
 
Hahahahaha...... sasa chief gari si ulikua unaendesha mwenyewe tuambie basi hapo wakati unampita ulikua speed ngapi?
 
Yawezekana we ndo ulikuwa unaona ligi, ye alikuwa anatembea kawaida tu, sometyms unakuta unatembea mwendo wako wa kawaida kabisa wa labda 120 maana ndo comfortable zone yako, kinatokea kimtu kime rev mpaka mwisho kabisa kinakupita then kinapunguza ukipite then kinakupita tena kinataka ligi, yani watu wengine wa ajabu kweli, hulipwi hufaidiki chochote na ata hamjuani anafanya mashindano ya kijinga, akipata ajali anapata asala tu,
Binafsi waga natembea na mwendo wa kuwa comfortable na kutumia kafuta vizuri
 
Sawa..!

Gari yako itakuwa haina uwezo ndio maana unaendesha hivyo.. Siku ukipata chuma kamili 120 haiwezi kuwa comfortable..!

Mambo ya ligi hayo ni mawazo yako na hakuna wa kukuzuia kuwaza hivyo.. Unataka kujuana na kila mtu barabarani kuwa Trafiki..
Unaona shida watu kukupita njoo kwa Wajerumani..unyonge utaisha..!
Hakuna mtu aliyewahi kupata asala.. Labda hasara au risala..!
 
Wapambe hao. Kuna vingine unaawaacha waendelee kujifurahisha huku wanajua ukweli.. LC inakaa kwa gari nyingi sana za ulaya bila matatizo huyo unampa tu hata Amarok V6 bado itamchapa
Bado watu wanadhani barabara za sasa ni zile za miaka ya 90. Wasijue almost kila week tupo barabarani na tunaziona hizo barabara.

Kwa njia nyingi ninazozifahamu, hakuna barabara wala matuta ya kuwasumbua kina BMW wala Benz.
 
Mlipanga kukimbizana au umempita bila makubaliano?
 
Bado watu wanadhani barabara za sasa ni zile za miaka ya 90. Wasijue almost kila week tupo barabarani na tunaziona hizo barabara.

Kwa njia nyingi ninazozifahamu, hakuna barabara wala matuta ya kuwasumbua kina BMW wala Benz.
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ Toyoda wanajitoaga ufahamu tu, ila wanajua kabisa Wajerumani sio viwango vyoa, na ukikuta wanaleta hoja za mashindano wanalingamisha Gari kama BWM series 1 na V8 ndio utagundua hawapo sawa hao
 
Yes hiyo ndio point yangu.. Exposure.. Sio kweli kuwa kulikuwa hakuna gari za kumsumbua.. Ni watu hawakuwa nazo au kuzifahamu.. Wajerumani wanazo gari zenye mbio tangu miaka ya 80..!

Hizo ndio engine na speed za G wagon benz miaka hio! Ukizungumzia wakumzidi mjapani sidhani kama kuna zaidi ya hao akina benz! Ila kwa speed hizo Land Cruiser mkonga still alikuwa mwamba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…