Andrew Nyerere
JF-Expert Member
- Nov 10, 2008
- 3,007
- 2,451
Anasema anataka Sheikh Shariff,Rais wa Somalia,aondolewe madarakani kwa sababu,mwanzo yeye ndiye aliyekuwa mkubwa wa Jihad,lakini sasa amewasaliti wenzake baada ya kushawishiwa na Balozi wa Kenya mwanamke wa Marekani.
Anasema sasa Shariff anatawala kwa kutumia mchanganyiko wa Sheria za Magharibi na sheria za Kislaamu,ambayo ni sababu tosha ya kumuondoa madarakani.
Kwa kifupi,Osama bin Laden anataka kuona sheria ya kweli Somalia,kama ambavyo hapa Tanzania tunataka iwepo sheria,siyo katika vitabu,isipokuwa katika maisha ya watu.
Osama bin Laden ameigeuzia macho Somalia. Jambo gani litatokea sasa?
Wamarekani bwana, njaa ilipokuwa inawapigia hodi walinyamaza kimya,hatukusika Bin Laden wala nini, saivi weshashiba wanatafuta wa kumtoa maungoni, stupid Americans...Anasema anataka Sheikh Shariff,Rais wa Somalia,aondolewe madarakani kwa sababu,mwanzo yeye ndiye aliyekuwa mkubwa wa Jihad,lakini sasa amewasaliti wenzake baada ya kushawishiwa na Balozi wa Kenya mwanamke wa Marekani.
Anasema sasa Shariff anatawala kwa kutumia mchanganyiko wa Sheria za Magharibi na sheria za Kislaamu,ambayo ni sababu tosha ya kumuondoa madarakani.
Kwa kifupi,Osama bin Laden anataka kuona sheria ya kweli Somalia,kama ambavyo hapa Tanzania tunataka iwepo sheria,siyo katika vitabu,isipokuwa katika maisha ya watu.
Osama bin Laden ameigeuzia macho Somalia. Jambo gani litatokea sasa?
Wamarekani bwana, njaa ilipokuwa inawapigia hodi walinyamaza kimya,hatukusika Bin Laden wala nini, saivi weshashiba wanatafuta wa kumtoa maungoni, stupid Americans...
WAMEANZA KUMGEUKA "shehe wao wa dunia"
HASA PALE ANAPOTOA MANENO AMBAYO HAYADHANIWI KUWA NDIYE ALIYESEMA...!
OSAMA BIN LADEN a.k.a "shehe wa dunia" SASA AELEKEZA MACHO YAKE SOMALIA...!
Hey,no one has blamed the Americans. Even bin Laden has not blamed the Americans when he gave this message. You want to know where I got this message from? This is a BBC message,quoting a radical Jihadi website,that bin Laden says.'' Judge for yourselves everyone,is it Sheikh Shariff who should be blamed or is it the Americans who should be blamed? Surely,it is Sheikh Shariff who should be blamed"" This is what bin Laden said,that it is not the fault of the Amercans,but it is th fault of Sheikh Shariff.
Wamarekani bwana, njaa ilipokuwa inawapigia hodi walinyamaza kimya,hatukusika Bin Laden wala nini, saivi weshashiba wanatafuta wa kumtoa maungoni, stupid Americans...
Another American propaganda...!
Eeeh...! shehe wa dunia...!? Duh! kaaazi... kweli kweli...! Haya!
Another American propaganda...!
muulize mhadhiri MAZINGEyeye siku hizo bin laden anavuma niliwahi muona akiwa amevaa fulana yenye picha ya osama na huku akinadi jinsi ilivyoandikwa kwenye fulana hiyoOSAMA BIN LADEN....SHEHE WA DUNIA...!