vkeisy2006
JF-Expert Member
- Mar 26, 2010
- 229
- 99
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaaa mwenyewe alishakufa tangu 2001, kilichomuua ni either kipindupindu au kidney failure. hakuna Osama tena ni kuogopa vivuli tu.
nashangaa wengine wanamfagilia, wakati alikuja kuua watz kibao hapa siku ile alipovurumisha mabom ubalozi wa wamarekani, waliokufa ni watz, na watz haohao wengine wanamsapoti na kuona kuwa anapigania dini yao....ajab kweli dini zingine.
kupigwa kwa ubalozi wa marekani isiwe ndio sababu ya wewe kuhitimisha kuwa mtu fulani ni mbaya katika mapambano ya kutaka kupata kitu fulani inawezekana kuna watu wakaumia kwa bahati mbaya lakini lengo la mtu huyu ni kupinga uonevu unaoweza kufanywa na mataifa yenye nguvu kama urusi na marekati na kama ukiwa mfuatiliaji mzuri fuatilia mikanda ya akina MAO, CASTRO.NYERERE , HUGO CHAVES . MANDELA NA LULA D, SILVA utagundua kuna kitu kimoja katika ubongo wao ambacho ni tofauti na jamii ya wakati uo, kwahiyo jenga misingi yako ya ufuatiliaji kutokea kwenye kitu hicho utapata kitu kimoja muhimu ingawa unaweza kuona mapungufu mengine ila wewe tumia mazuri ya watu awa
kuna mazuri gani aliyofanya osama bin laden? na we mfuasi wake nini?