kupigwa kwa ubalozi wa marekani isiwe ndio sababu ya wewe kuhitimisha kuwa mtu fulani ni mbaya katika mapambano ya kutaka kupata kitu fulani inawezekana kuna watu wakaumia kwa bahati mbaya lakini lengo la mtu huyu ni kupinga uonevu unaoweza kufanywa na mataifa yenye nguvu kama urusi na marekati na kama ukiwa mfuatiliaji mzuri fuatilia mikanda ya akina MAO, CASTRO.NYERERE , HUGO CHAVES . MANDELA NA LULA D, SILVA utagundua kuna kitu kimoja katika ubongo wao ambacho ni tofauti na jamii ya wakati uo, kwahiyo jenga misingi yako ya ufuatiliaji kutokea kwenye kitu hicho utapata kitu kimoja muhimu ingawa unaweza kuona mapungufu mengine ila wewe tumia mazuri ya watu awa