Mi nataka nijue kama ni ke au meWeka picha wengine hatujui madikteta walivyo.
Dictator Baba Kelvin keagenWeka picha wengine hatujui madikteta walivyo.
Jamaa mbishi kweli na mf jana alikuwa anawalazimisha wachambuzi wake AMIR MHANDO, RAMADHANI MBWADUKE na JEMEDARI SAID wakubali eti YANGA wanacheza CCL km VITI MAALUM... jamaa wakawa wanambishia... Akawa anabisha...
Anatangazia wapi?
kubisha sio tatizo swali ni kwamba anatumia hoja za nguvu au nguvu za hoja ?..., Pia kusikiliza ni muhimu sana kwenye dialogue..., ndio maana ikawa dia na sio monologue...Jamaa mbishi kweli na mf jana alikuwa anawalazimisha wachambuzi wake AMIR MHANDO, RAMADHANI MBWADUKE na JEMEDARI SAID wakubali eti YANGA wanacheza CCL km VITI MAALUM... jamaa wakawa wanambishia... Akawa anabisha...
Nilitegemea hii comment mwamba!
hahahahahha.hatariMahmoud Bin ZubeirView attachment 1178158View attachment 1178159
TBC Taifa
Ndio namjua leo alafu wewe si ndio unajifanyaga unaiponda TBC wewe?TBC Taifa
Jemedari alijiinamia kipindi kizima..Anaudhi huyu bin Zuber...anataka wenzake waongee kama ambavyo yeye angeongea!!Usiwaalike watu basi kaa mwenyewe ongea weeee,ufurahi...