Bin Zuberi unaanza kukiharibu kipindi cha Sport AM.

Jamaa mbishi kweli na mf jana alikuwa anawalazimisha wachambuzi wake AMIR MHANDO, RAMADHANI MBWADUKE na JEMEDARI SAID wakubali eti YANGA wanacheza CCL km VITI MAALUM... jamaa wakawa wanambishia... Akawa anabisha...
Yupo sahihi kabsa, yambwa wanacheza CCL kama viti maalumu.
 
Kiukweli huwa simpendi huyo mtu coz kwanza ni mbabe na huwakatisha katisha wenzie. It is as if hana weledi wa kazi
 
Anakosa hiko kitu.Pia hana busara na anakosa uungwana wa kimjumuiko.Ni aina ya watu ambao hawawezi kufanya kazi na group...hujiona wanajua zaidi..hata anapotoa habari za michezo kwenye alasiri lounge huwa haendi sawa na wenzie..ana ego la kufa mtu
 
Ukweli haupingiki, yanga ni Vito maalum ccl!!!
 
Yaani kabisa umekaa unasikiliza Habari za michezo TBC? redio zote hizi zilizopo? Kule kama kuna ziara, ufunguzi wa Miradi Sawa lakini sio sports
 
Jamaa mbishi kweli na mf jana alikuwa anawalazimisha wachambuzi wake AMIR MHANDO, RAMADHANI MBWADUKE na JEMEDARI SAID wakubali eti YANGA wanacheza CCL km VITI MAALUM... jamaa wakawa wanambishia... Akawa anabisha...
Hilo LA Viti maalum hata Mimi ningewabishia, ni kweli Viti maalum,wabishi ni Yanga, mbona KMC hawabishi??
 
Yaani kabisa umekaa unasikiliza Habari za michezo TBC? redio zote hizi zilizopo? Kule kama kuna ziara, ufunguzi wa Miradi Sawa lakini sio sports
Kwahiyo we umeamini kabisa kuwa hiko kipindi kipo TBC?Unawahi sana kuamini,kuna matapeli take care...
 
Jamaa mbishi kweli na mf jana alikuwa anawalazimisha wachambuzi wake AMIR MHANDO, RAMADHANI MBWADUKE na JEMEDARI SAID wakubali eti YANGA wanacheza CCL km VITI MAALUM... jamaa wakawa wanambishia... Akawa anabisha...
Ah hyo alkuw sahh bn
 
Mtangazaji anaegemea team moja hadi ana kera
..m namshauri tu arudi kwenye blog yake kutangaza hajui kuendesha kipindi hajui ...siku hizi nikikuta Azam yupo jamaa nahamisha channel
 
Badili frequency.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…