Binaadamu Mungu akikunyima haya (shyness) na akili unakua mnyama

Sesten Zakazaka

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2017
Posts
10,559
Reaction score
19,101
Jana jioni tumemzika jamaa mmoja mtu wa makamu kiasi, nadhani umri wake ni kati ya miaka 55 hadi 59 maana nilisikia kwenye salam za rambirambi kua alikua amebakiza miaka kama miwili astaafu utumishi wa uma

Kwenye msiba huo ambapo ni jirani na kwangu (mtaa mmoja) kuna jambo lilikua linanipa udadisi sana. Binti mkubwa wa marehemu ambaye anaweza kua above 30 alikua akilia kwa kuomboleza kwa maneno ya 'mama nisamehe, mama nisamehe mama nisamehe' kana kwamba aliyefariki ni mama yake wakati msiba ni wa baba yake

Watu walikua wanaongea maneno ambayo niliyaona kama utesi(kuteta) na porojo hadi pale nilipomuona mzee mmoja maarufu wa aneo hili ambaye ninaheshimiana nae na yeye hua ananiamini sana. Udadisi wangu ukanisukuma nimuulize mambo kadhaa ya kwenye msiba hasa kuhusu marehemu na familia aliyoicha

Alikua anaongea na mimi kwa mafumbo na kama vile anajambo linalomsumbua. Tulipotoka makaburini nikamuomba mzee wangu huyo tukae sehemu tupate angalau vinywaji baridi akakubali. Tulipokua hapo alinieleza kisa cha kustaajabisha na kukera sana kuhusu marehemu

Mzee akanambia alifanya usuluhishi mara mbili kwenye ndoa ya marehemu kisa marehemu alikua anatoka kimapenzi na mwane wa kumzaa! Yule binti aliyekua anomboleza kwa kumuomba msamaha mama yake

Nikamuuliza haiwezi kua ni issue za ushirikina? Mzee akakataa katakata akasema kwa umri wake na uzowefu wake masuala ya ushirikina mwanaume anafanya mara moja kwa maagizo ya waganga lakini huyo binti na marehemu baba yake walikua wapenzi hasaa wa kubebishana na mama mtu kashawafuma siku moja wakila tunda chumbani kwa binti yake! Na kuanzia hapo wakawa mtu na mke mwenza wakioneana wivu!!!

Huyo mama alileta shauri kwake na mzee mwingine ambaye alishafariki na wakaliongea wakalimaza. Aliporudia tena wakalileta tena kwao na wakafanikiwa tena kulimaliza ingawa ilibidi watumie vitisho fulani kwa yule binti ili kuwafanya waachane jumla na baba yake

Nimekaa natafakari mwanaume unaanzaje kumtongoza binti yako, ukamvua nguo na pichu na kisha uingize dushe!

Binti utamvuliaje pichu baba yako aliyekuzaa!!!! Huoni hata kinyaa basi kama huamini katika laana!? Wanaume wooote duniani usiwaone wa kila aina warefu, wafupi wembamba, wanene, matajiri, wasomi nk...dah binadamu kama kuku saa zingine😎😎😳
 
Kwahyo kilichomuua ni nin? ,
 
ndio" dunia hiyo Mkuu"..... inshort familiar zetu hizi huwa zina beba siri nzito Mnooo " kiasi ambacho wengine wakizisikia huwa zina waacha midomo wazi
 
Acha tu"... Mungu aniepushe" Nisije kupata mtoto Mwenye Shepu Kama Ya sanchoka"..... Maana shepu kama zile nikumkaribisha bro Shetani" Late Majaribu tu.... dunia Iniepushe kwakweli
 
Hayo mambo yanatisha na yapo nshashuhudua kesi kama hizo Mbili kwa macho yangu sio kwa ridhaa yao watoto isipokua wababa wanawabaka watoto wao...mmoja wa kidato cha pili mzazi anajua na ndo anammmezesha vidonge asipate mimba mwanawe...

Mwingine mzazi kampa mimba mwanawe wa kidato cha NNE hvyo mtoto hataendelea tena na shule hivi vitu kuna pande mbili wababa ambao wanafanya kwa ushirikina watoto hawataki

Na wengine hulka zao tu na laana
 
Hiyo ni laana kwa kwakweli, wawe wanafanya kwa ushirikina au kutimiza tu tamaa zao za mwili

Mungu Atunusuru Raynavero
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…