Binadam katokana na Sokwe

Ktk history Kuna nadharia 2 inayoamini binadamu anatokana na super natural power ambayo ni nguvu za Mungu na 2,ni sokwe.Ss utachagua
 
Kima siyo sokwe.

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Ujinga, usitukane, we jiangalie sura yako sawa kabisa na kima, sokwe. Researchers at the Wellcome Trust Sanger Institute in Cambridge found that our genes and those of the gorilla are 98 per cent identical, although we share around 99 per cent of our make-up with chimpanzees.
 
Binadamu asili yake ni primate na kwenye kind hili la primate wapo..wapo chimpanzee..gorilla.. monkey..apes n.k.. kuwa kwenye category moja aimanishi sisi ni nyani..shida ni lugha ya kiswahili Ina matatizo kuifundishia.. mfano tu TWO NIGHTS kwa kiswahili utasemaje?
Hivyo basi si kweli kwamba binadamu alikuwa nyani..
 
Jamani kuna yule mama huwa anazunguka sehemu mbalimbali Dar hii ana watoto walemavu wanne wanafanana na masokwe kabisa.
Kila nikimuona huwa nastaaj na kujiuliza maswali mengi yaso majibu.

Mojawapo kati ya maswali yanitatizayo ni kwamba wale watoto kuwa vile ni wamefanana na baba yao?
Maana yeye yupo kawaida tu.
Tatizo nashindwa kumuuliza [emoji24]
 
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Asili ni sawa na ngozi huwezi kuibadili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…