"Watu waongo kweli sijawahi ona...!!!"
Eti:- Milima haikutani lakini binadamu wanakutana,
Hivi wewe kwa akili yako unaweza kukutana na RIHANNA au RAMBO au MESSI ama JET LEE ? Huyo KITALE mwenyewe teja lakini kukutana nae ufanye kazi!
Sasa kwa taarifa yako utaendelea kukutana na mimi mwanzo mwisho binadamu wengine wana sifa za milima_
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]