Binadamu aliyegeuka kuwa panya!

Mmmm,ila inaonekana ameshazaa mbona titi limelala sasa amezaa binadamu au
 
msaada
 

Attachments

  • 24970373573521515604811l.jpg
    46 KB · Views: 441
Mmmh hii picha mbona hata haionyeshi kama imetengenezwa photoshop?? Isije kuwa ndo kimezaliwa kiumbe cha aina hiyo!?
 
mmmh!! mbona ana matiti lakini anaonekana kama mkia wake ni mtarimbo?
 
Nasikia alikuwa kiboko wa kuiba waume za watu.....akamuibia mama mmoja wa kichagga akawa hivyo
 
Tumuulizeni Pape mwana JF mwenzetu kwa mara ya kwanza aliirusha humu yeye.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…