Inategemea anafanya kazi gani, umri wake, na hali nyingine za kiafya.
Japo wengi ni ndani ya masaa 6 mpaka 8 kea watu wazima.
Jitahidi yasizidi 8.
Na kama utalazimika kulala chini ya masaa 6 labda kulingana na nature ya kazi mfano mwanafunzi, basi jitahidi haya masaa: saa7, saa8 na saa9 yakikutie usingizini (ndotoni).