Binadamu anakoma kurefuka kimo akiwa na umri gani?

Bandu Ncheche

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2016
Posts
512
Reaction score
326
Ni hilo tu nataka kufahamu,nimeuliza hivyo baada ya kugundua kuwa mtu aliyekuwa ananizidi kimo nikiwa na miaka 21 yeye akiwa na miaka 31 Sasa hivi namzidi kimo.
 
Hapana mkuu. Sidhan kama kuna mtu anarefuka mpk akiwa na miaka 30. Kwa mujibu wa sigmoid curve ni miaka 23-26 unakua umefika mkojo wa ukuaji. Baada ya hapo unaenda constant mpk 75-80 unarud nyuma kidogo(unarud utoto)[emoji23][emoji23]
[emoji120][emoji120][emoji120]hapo kwenye kurudi mtoto ndio sipataki.... Yaani nashindwa kusema kukojoa nasema ataka jojoa..
 
Hahaaa hapo ndo penyewe. Nakumbuka bibi yangu Alikua anadokoa nyama jikoni anaficha kwenye nguo.....full vituko yani km mtoto. Mkewangu alilalamika weee ila baadae tulikua tunaenjoy tu kafanya kipi jipya leo
 
[emoji23][emoji23][emoji23]hakuna kitu naogopa kama kuzeeka[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Kwa ulozi wako unaweza kuchinja watu kupata kitoweo. Bora usizeeke [emoji1787]
[emoji44][emoji44][emoji44][emoji848][emoji848][emoji848][emoji24][emoji24][emoji24][emoji23][emoji23]
 
Hahaaa hapo ndo penyewe. Nakumbuka bibi yangu Alikua anadokoa nyama jikoni anaficha kwenye nguo.....full vituko yani km mtoto. Mkewangu alilalamika weee ila baadae tulikua tunaenjoy tu kafanya kipi jipya leo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]ilikuwa ndio tabia yake utotoni.
Wapo akina bibi wengine wanawasumbua Sana vijana mitaani.
 
Back
Top Bottom