Habari.
Naomba kuuliza kama binadamu anaweza waka moto na kutoa energy. Binadamu ana maji mengi, lakini kama umewahi choma tanuri utaona kwa wanatumia magogo mabichi na yanawaka vibaya mno. Binadamu anaweza waka kama gogo bichi? Ukizingatia ana mafuta ya kutosha kuchochea moto. Au inawezekana kumkausha na kumtumia kama kuni?🤔 Vipi aliyekufa kwa kiu, anawaka vizuri. Uwakaji wa mifupa uko vipi?
Namaanisha binadamu anawaka exothermically au endothermically.