Binadamu anayecheua

Credit

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2015
Posts
1,490
Reaction score
1,881
Kwa uelewa wangu ni kwamba; kuna baadhi ya wanyama hucheua lakini lakini binadamu hayuko kwenye kundi la wanaocheua. Sasa kuna rafiki yangu yeye hucheua; yaani akimaliza kula, baada ya nusu saa au zaidi anaanza kutoa chakula tumboni na kuanza kukitafuna tena. kama ng'ombe tu wanavyofanya. Je atakuwa abnormal?, kuna madhara yeyote anaweza pata?
 
Huenda hujui kucheua ni nini.
Yaani jamaa akila chakula, then baada hata ya nusu saa anaanza kukirudisha mdomoni na kuanza kukitafuna tena
 
Inamaana mwanzoni anameza tu bila kutafuna kisha baadae ndio zoezi la kurudisha mdomoni kukitafuna linaanza?

Hicho kitendo cha kukirudisha chakula mdomoni kutoka tumboni anafanya kwa hiari au kinatokea chenyewe tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…