Binadamu haendeshi maisha bali maisha ndio yanamuendesha Binadamu

Binadamu Mtakatifu

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2021
Posts
4,226
Reaction score
8,879
Moja ya jambo ambalo nakaaa muda na kuwaza ni kuwa Maisha na vilivyomo ndani yake.

Niukweli usio pingika na Uko wazi kuwa haya maisha yanatuendesha yatakavyo.

Naukifuatilia kwa karibu ni kuwa anayeendesha Maisha ni Mungu au Shetani.

Mfano tu labda unataka kiwa mtakatifu uwe Mwaminifu kwa Mungu sasa ofisi inaanza kubadilika mazingira ya ganji ambayo ni dhambi yanaongezea mara uzinzi huo vimini na visuruali harufu ya wingi vinaanza kukuandama Lazima tu Uanguke.

Binafsi siwalaumu baadhi ya watu waliopo kuzimu ni maisha ndio yaliwagharibu pakubwa sote tunaweza kwenda uko Maisha ndio yatatupangia.
 
True, sisi ni kama maji tufatao mkondo tu , ndo maana huwa sina msingo wa kusumbukia maisha,nasaka utajiri kama hobbies tu
 
Moja ya jambo ambalo nakaaa muda na kuwaza ni kuwa Maisha na vilivyomo ndani yake.

Niukweli usio pingika na Uko wazi kuwa haya maisha yanatuendesha yatakavyo.

Naukifuatilia kwa karibu ni kuwa anayeendesha Maisha ni Mungu au Shetani.

Mfano tu labda unataka kiwa mtakatifu uwe Mwaminifu kwa Mungu sasa ofisi inaanza kubadilika mazingira ya ganji ambayo ni dhambi yanaongezea mara uzinzi huo vimini na visuruali harufu ya wingi vinaanza kukuandama Lazima tu Uanguke.

Binafsi siwalaumu baadhi ya watu waliopo kuzimu ni maisha ndio yaliwagharibu pakubwa sote tunaweza kwenda uko Maisha ndio yatatupangia.
Hapo ni kweli kabisa binadamu kwenda mbinguni inategemea na mazingira yanayomzunguka yakoje na anakabiliana nayo vipi
 
Back
Top Bottom