Binadamu Mtakatifu
JF-Expert Member
- Jan 6, 2021
- 4,226
- 8,879
Unaweza ukajipendekeza sana lakini mungu akakutenga vilevileKuamua kushindwa ni kushindwa kuamua.
Usikubali maisha yakutenge na Mungu
Shetani ndio ananguvu sana sio kama tunavyofikiri hasa ukiwa hauna MunguNdio uamini shetani ana nguvu sana
Hakikamungu akinitenga siyo tatizo ila Mungu akinitenga ni tatizo
Ndugu kuna vitu vigumu dunianiKuamua kushindwa ni kushindwa kuamua.
Usikubali maisha yakutenge na Mungu
Shetani ana nguvu kwa asiye na MunguShetani ndio ananguvu sana sio kama tunavyofikiri
HahahaTrue, sisi ni kama maji tufatao mkondo tu , ndo maana huwa sina msingo wa kusumbukia maisha,nasaka utajiri kama hobbies tu
Sahihi kabisaShetani ana nguvu kwa asiye na Mungu
Wewe mwenyewe unaongea hivyo usikute asilimi %80 yamatendo yako hayamfulaishi Mungu[emoji23][emoji23][emoji23]Kuamua kushindwa ni kushindwa kuamua.
Usikubali maisha yakutenge na Mungu
Hapo ni kweli kabisa binadamu kwenda mbinguni inategemea na mazingira yanayomzunguka yakoje na anakabiliana nayo vipiMoja ya jambo ambalo nakaaa muda na kuwaza ni kuwa Maisha na vilivyomo ndani yake.
Niukweli usio pingika na Uko wazi kuwa haya maisha yanatuendesha yatakavyo.
Naukifuatilia kwa karibu ni kuwa anayeendesha Maisha ni Mungu au Shetani.
Mfano tu labda unataka kiwa mtakatifu uwe Mwaminifu kwa Mungu sasa ofisi inaanza kubadilika mazingira ya ganji ambayo ni dhambi yanaongezea mara uzinzi huo vimini na visuruali harufu ya wingi vinaanza kukuandama Lazima tu Uanguke.
Binafsi siwalaumu baadhi ya watu waliopo kuzimu ni maisha ndio yaliwagharibu pakubwa sote tunaweza kwenda uko Maisha ndio yatatupangia.