KakaKiiza
JF-Expert Member
- Feb 16, 2010
- 11,794
- 9,075
Katika hali isiyokuwa ya kawaida ni kwamba Binadamu tunapozaliwa tunakuwa na Lugha yetu ya asili ya mawasiliano, licha ya kuwa tunakuwa wadogo, lakini katika udogo huo huo huwa tunawasilia nakuelewana hasa tukikutanishwa tukiwa watoto watogo!.Watoto wakiwa pamoja uwasiliana!
Mfano mtoto akizaliwa Ufaransa, na mwingine Indonesia na mwingine Japan, lazima lugha yao ya mawasiliano huwa ni Baba,tata, na Baadae Mama!
Unadhani ni nani huwa anawafundisha hayo maneno?Japo unaweza kusema huwa wanasikia kwatu wakisema ila ukweli ni kwamba kuna lugha ya mawasiliano tunayozaliwa nayo, japo uisahau tukiwa na akili ya kutambua!.
Ndiyo maana nasema kuna lugha ya mawasiliano ya asili hata tukiangalia viumbe wengine kama wanyama, wana lugha moja ya mawasiliano,Mbwa wa Bukoba, na Mbwa wa Washingiton DC, wakibweka hutumia mbweko wa aina mmoja.
Au angalia Jogoo wa wa Japan na Jogoo wa Ufaransa, wote uwika nikwa sauti moja na mida ile ile!hata Paka vivyo hivyo!
Kifupi hapa natakukujulisha kuwa kuna asili wa lugha hivyo wanyama hawakupata kiumbe wakuwaendelezea kwa lugha nyingine!.