Binadamu tumeumbiwa kusahau

XII Tz

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2020
Posts
4,345
Reaction score
7,076
Kwa kawaida sisi wana Simba hatunaga akili mbovu kama hawa wenzetu vinyesi fc, imekua kero mitaani ukibishana nao kidogo tu wanakumbushia tobo alilopigwa zimbwe kana kwamba ni kitu cha ajabu sana na hii inaonyesha ni namna gani hawa ndugu zetu walivyo malimbukeni.

Anyway binadamu tumeumbiwa kusahau, hivyo ningeomba niwakumbushe tu na kama Simba tungekua na ulimbukeni kama hawa ndugu zetu basi mjini pasingetosha maana Simba udambwi udambwi ndio mwake, Chama kuna kipindi mpaka alitaka kushtakiwa kwa ukiukwaji wa haki za kibinadamu uwanjani, akaamua kupunguza vyenga vya maudhi. Embu tujikumbushe kidogo hapo chini [emoji23]
 
Huu ndio utani wa jadi mkuu, ndio sababu shabiki wa yanga au simba hata afungwe goli ngapi hua hakosi sababu yakujitetea.
 
Oya hiyo game wote tuliiangalia. Kuua mzizi wa fitina weka video yake kama kweli chama alimlamba vyenga fei mpaka akaanguka.
 
Kama inawezekana Lile tobo alilopigwa zimbwe lingewekwa kwenye royal tour
 
Vimewauma sana naona. Mleta mada tafuta picha ya tobo la yule mkongo wao alopigwa kwny mechi yao na coastal
 
Matokeo ya hii mechi please
 
Mwendo wa kugalagala
 
Sasa kama Zimbwe alipigwa tobo kweli we umekuja kulialiaa nini hapa..?.. mmefungwaa mmefungwa na matobo juu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…