Binadamu tuna mapungufu/madhaifu yetu, lakini huyu jamaa sikuona mapungufu yake

Mkuuu naomba unitumie audio zake please..
 
Hakika tanzania tunakazi kuendelea mtu unathubutu kusema binadam hana mapungufu..ulikuwa pamoja na huyo bwana...futa ujinga huu
 
Elezea basi alivyokuwa mzinifu, alizini na nani weka na reliable source tafadhari.
Kuna movie J Edger Hoover, inahusu maisha ya mkurugenzi wa upelelezi wa Marekani wa miaka ya 60, 70, katika moja ya jambo alilofanya ni kufuatilia/kunasa kwa siri maongezi ya simu au mambo anayofanya MLK ofisini. Ndipo vitendo hivyo viliponaswa pia.
 
Unavyo muona King ni kama Indians wanavyo mwona Gandhi.
Nikimaanisha despite Gandhi kua mpigania uhuru nk alikua miongoni mwa binadamu waovu sana.
So the same applies to Martin... Sijui uchafu wake all I know is hakuna mwanadamu asie na mapungufu.
Yesu alikua na mapungufu sembuse huyo.
 
01:King attempted suicide as a young boy.

When King was 12, he attended a parade against his parents' wishes. His maternal grandmother suffered a fatal heart attack that day. King blamed himself for her death, because his six-year old little brother A.D., whom he was supposed to be home watching, accidentally knocked their grandmother unconscious while sliding down a bannister. Young Martin did not know the unconsciousness was unrelated to the heart attack. Associating his absence with the tragic turn of events, Martin attempted suicide by jumping from a second-story window in his family home. His father later reported that the boy was distraught for days, unable to sleep.

This sense of melancholy, while perfectly understandable, and a sign of his love for his grandmother, presaged the bouts of depression King experienced over philosophical divisions within the Civil Rights Movement (i.e. militants vs. nonviolent activists), and the challenges of the Poor People's Campaign. Of his grandmother's death, King said, "It was after this incident for the first time that I talked at any length on the doctrine of immortality. My parents attempted to explain it to me and I was assured that my grandmother stil lived." On the eve of his own death, King preached, "Longevity has its place. But I'm not concerned about that now. I just want to do God's will. And He's allowed me to go up to the mountain. And I've looked over. And I've seen the promised land. I may not get there with you."

02😛lagiarism in Speeches – King’s efforts in civil rights activism led him to the 1963 “March on Washington”, where he delivered his “I Have A Dream” speech. There, he expanded American values to include his vision of a color-blind society and established his reputation as a great orator – but should he have this reputation?



Archibald Carey, Jr. originated MLK’s “I Have a Dream” speech.

King plagiarized the “I Have A Dream” speech from one given at the Republican Convention in 1952 given by Archibald J. Carey, Jr., an an African-American lawyer, judge, alderman, diplomat and clergyman from the south side of Chicago.

Carey’s speech spun off the words of the song “My Country ‘Tis of Thee – America”, the American patriotic song written by Samuel Francis Smith. There are no easily obtainable copies of the audio of his speech but the text of the ending is here:

We, Negro Americans, sing with all loyal Americans: My country ’tis of thee, Sweet land of liberty, Of thee I sing. Land where my fathers died, Land of the Pilgrims’ pride From every mountainside Let freedom ring!

That’s exactly what we mean – from every mountain side, let freedom ring. Not only from the Green Mountains and White Mountains of Vermont and New Hampshire; not only from the Catskills of New York; but from the Ozarks in Arkansas, from the Stone Mountain in Georgia, from the Blue Ridge Mountains of Virginia–let it ring not only for the minorities of the United States, but for the disinherited of all the earth–may the Republican Party, under God, from every mountainside, LET FREEDOM RING!
 

Miaka 12 hapo ni mtoto tu tena mdogo maamuzi ya mwenye miaka 12 yanakuwa ni ya kitoto kitoto tu na anakuwa kwenye uangalizi wa karibu wa wazazi au walezi hata kujitegemea ni bado.

King ali admire speech ya Archibald J. Carey ya mwaka 1952, akatumia baadhi ya maneno kwenye I have a dream speech mwaka 1963 kuna ubaya?
 
Hakuna ubaya ila nimeandika baadhi ya mambo ambayo watu hawaya jui kuhusu jamaa!
 
Hakuna ubaya ila nimeandika baadhi ya mambo ambayo watu hawaya jui kuhusu jamaa!
Ok, nimekuelewa.
Pia jina lake la kuzaliwa lilikuwa ni Michael Lewis King kama baba yake ni Michael L. King Sr. baadaye wakabadilisha majina na kuwa Martin Luther King Jr, na baba Sr.
 
Mleta uzi ulishawahi msikia mtu anaitwa DIOGENES ambaye alimkalisha ALEXANDER THE GREAT na kumfanya ajione si chochote si lolote mbele ya huyu DIOGENES.
au huyu mwingine aliitwa ENOCH kutokana na THE BOOK of ENOCH ambacho kilikuwa removed from the HOLLY BIBLE, inasemekana mtu huyu alikuwa mkamilifu kiasi kwamba hakupata kuonja mauti bali alinyakuliwa kwenda mbinguni ?.
M.L.King Jr nina mheshimu sana ila nakuomba uache kuandika 3D kutokana na mahaba yako binafsi kwa mtu fulani, dunia bado ina mengi ya kujifunza ndugu

MADE IN MBY CITY
 
Alikua anaogopa sana kuuwawa..manake alijua watamuua.
Lakini haikusaidia.

Fuatilia sana hotuba zake.
Sometimes hadi analia.

Alikua jasiri mwenye hofu sana.
 
Martin Luther King Jr. alikuwa ni pastor lakini hiyo haikumuondoa kwenye kupigania haki na utu alikuwa mwanaharakati mpigania haki za watu weusi na tena alikuwa akitumia sana maandiko na mafundisho ya biblia kwenye speech zake na falsafa zake.
Jamaa alikuwa ni gifted sana kiukweli.
 
Mkuu naomba nitumie 0714547830
 
Jamaa alikuwa kichwa hiv kwa Africa unaweza kumfananisha na nani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…