Hahahaaaa. Hivyo best tukila sana ndio zitapatikana ee?Mmh kwa huo mlo kiduchu aisee nguvu za yale mambo yetu sahau kabisaaa
Tena na ukimuona ndio hutaamini maana ni mwembamba[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Nitakuwa wa mwisho kuamini hii stori
Sasa kama mwembamba hiyo ndoo nzima ya ugali anayokula inakwenda wapi? [emoji23][emoji23]Tena na ukimuona ndio hutaamini maana ni mwembamba
Umeacha kaz ya utatibu, dada ?Mimi si daktari ni mpika chapati
Hiyo menu hadi nimejilamba...Yeye ninampikia wali wa nazi na maini
LEO unaongea vitu vizuriHapo zamani za kale tuliishi kwa matunda an mizizi. Tulitembea umbali mrefu kutafuta mizizi an matunda haya. Mungu aliuwezesha mwili kuhifadhi chakula kwa njia ya mafuta. Hivyo ukikosa chakula kwa siku mbili au tatu mwili uliweza kutumia akiba kulisha ubongo na kuendeleza uhai.
Maendeleo ya zama za mawe an zama za vyuma yalituwezesha kuwinda na kulima nafaka pamoja an ile mizizi iliyokuwa inatafutwa porini kama mihogo, viazi, majimbi, nk.
Siku hizi vyakula vimekuwa vingi na tunavipata bila kutoka jasho. Ukweli ni kuwa ndizi moja mbivu inatosha kuwa kifungua kinywa. Mchana mayai mawili ya kuchemsha pamoja na nyanya an tango vinatosha kwa mlo wa mchana. Jioni vijiko vinne vya chakula na nusu mug ya maharage inatosha kwa mlo wa kulalia.
Huu no mlo wa wale wasiotumia nguvu nyingi kupata mkate wa kila siku.
Unaamka asubuhi unafungua fridge kuna mkate , mayai, sausage, unamaliza kula unaangalia tamthilia makes kesho kama kawa. Ni kukaribisha obesity
Hahahah! Kuwa serious mkuu [emoji23][emoji23]Ubaya wa tumbo halisemagi basiiii unavyolizoesha na lenyewe linazoea!kuna jamaa mmoja mchimba mitaro yeye asubuhi anakula chapati 8 jagi la maarage na vikombe mama vi3 vya chai ukiona utajua hali tena mchana.ikifika mchana huwa hali hoteli anaenda nyumbani anajibonda ugali ndoo ndogo ile imejaa!siku unga wa ugali umebaki kilo4 anamwambia mkewe aupikie uji tu maana hawezi kushiba ukirushwa kwenye ugali.hapo dessert zake ni mihogo na karanga mbichi hizo ni mda wote anatafuna.appetize yaani kabla ya lunch ndo anakula wali sahani 3.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sky Eclat
Huo mlo unawafaa watu wa mjini (Dsm )
Kwa huku kwetu mikoani tumbo litabaki jeupe.
Huo mlo Kwa show za usiku, utalia kama yule kijana wa GuDume aliyezimia!
[emoji2] [emoji1] [emoji2]Hiyo diet yako n kwaajili ya mamisii tu.
Vyakula vya zamani Matunda mizizi na mboga za majani ndio vyakula Muhimu kwa Afya ya binadamu.Vyakula vya siku hizi vyote ni vyakula feki havifai kiafya ndio maana tunapatwa na magonjwa ya ajabu yasiyoweza kutibika Ma-Hospitalini tunakula vyakula Feki ambavyo vimetengenezwa kwa mikono ya binadamu. Tumeacha vyakula vyetu vya asili alivyotuumbia Mungu tunakula vyakula vyenye Sumu na ni vyakula feki aka Junk food tutakosa kweli kupatwa na maradhi ya ajabu? Tuache kula vyakula vyenye Sumu na pia ni vyakula Feki vyakula vya viwandani turudi kwenye asili yetu ya vyakula vya asili maradhi yatatukimbia.Hapo zamani za kale tuliishi kwa matunda an mizizi. Tulitembea umbali mrefu kutafuta mizizi an matunda haya. Mungu aliuwezesha mwili kuhifadhi chakula kwa njia ya mafuta. Hivyo ukikosa chakula kwa siku mbili au tatu mwili uliweza kutumia akiba kulisha ubongo na kuendeleza uhai.
Maendeleo ya zama za mawe an zama za vyuma yalituwezesha kuwinda na kulima nafaka pamoja an ile mizizi iliyokuwa inatafutwa porini kama mihogo, viazi, majimbi, nk.
Siku hizi vyakula vimekuwa vingi na tunavipata bila kutoka jasho. Ukweli ni kuwa ndizi moja mbivu inatosha kuwa kifungua kinywa. Mchana mayai mawili ya kuchemsha pamoja na nyanya an tango vinatosha kwa mlo wa mchana. Jioni vijiko vinne vya chakula na nusu mug ya maharage inatosha kwa mlo wa kulalia.
Huu no mlo wa wale wasiotumia nguvu nyingi kupata mkate wa kila siku.
Unaamka asubuhi unafungua fridge kuna mkate , mayai, sausage, unamaliza kula unaangalia tamthilia makes kesho kama kawa. Ni kukaribisha obesity
Shukran mkuu ndiyo naans nililweka ndizi mbivu kwa kifungua kinywa, tango, nyanya makes yai pamoja na yai kwa lunch.Vyakula vya zamani Matunda mizizi na mboga za majani ndio vyakula Muhimu kwa Afya ya binadamu.Vyakula vya siku hizi vyote ni vyakula feki hafai kiafya ndio maana tunapatwa na magonjwa ya ajabu yasiyoweza kutibika Ma-Hospitalini tunakula vyakula Feki ambavyo vimetengenezwa kwa mikono ya binadamu. Tumeacha vyakula vyetu vya asili alivyotuumbia Mungu tunakula vyakula vyenye Sumu na ni vyakula feki aka Junk food tutakosa kweli kupatwa na maradhi ya ajabu? Tuache kula vyakula Feki vyakula vya viwandani turudi kwenye asili yetu ya vyakula vya asili maradhi yatatukimbia.
UnawashwaIngekuwa vizuri kama unge.specify kuwa chakula hicho au ulaji huo ni maalum kwa ajiri ya wanamme wa Dar tu.