Binadamu tunavyojenga jela zetu na kusababisha vifo vyetu

Binadamu tunavyojenga jela zetu na kusababisha vifo vyetu

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
1688909559942.png

Hofu imetutawala kiasi cha kuweka nondo madirishani, ili wezi na wahalifu wasifikie usalama wako na mali zako. Nondo hizi huwa kero wakati hatari ikiwa ndani ya nyumba. Mhalifu anaweza kuingilia mlangoni ikawa shida kwako kutoka. Moto unaweza kuleta madhara mengine, moto wa hitilafu wa nyaya za umeme au moto wa gesi ya kupikia jikoni.

Unapokuwa na hofu juu ya uhalifu uliokidhiri maana yake jamii inayokuzunguka ina hali mbaya kiuchumi, ikiwemo ukosefu wa ajira na uhakika wa kupata mahitaji muhimu.

Kuliko tuishi kwenye magereza yanayogharimu uhai wetu. Ni kheri tuangalie hili tatizo la ajira katika jamii kwanza.
 
Back
Top Bottom