Aunt yako ukute alitekwa Kama Mboso🤣🤣🤣Nje ya mada Aunt....
Hivi kwanini ulitoweka ghafka na hatukua na taarifa huku nyumbani kwa bibi na babu wote walikua wanakutafuta...😥
Sawa aunt, basi usiwe unasahau kuwapigia babu na bibi walau kuwajulia hali.Nilikwenda vacation dear nephew.
Haiwezekani mkuu, aunt namjua vizuri hadi mikato yake...😊Aunt yako ukute alitekwa Kama Mboso🤣🤣🤣