karv
JF-Expert Member
- Dec 26, 2019
- 1,802
- 3,253
~Tusingepita kwenye ct scan
~Tungeshindwa kupanda ngazi
~Tungeshindwa kukumbatiana
~Tungeshindwa kupika
~Tungeshindwa kukimbia kwa kupokezana vijiti.
~Tungeshindwa kupuliza tarumbeta
~Tungeshindwa kuvaa barakoa
~Lipstick & lipshine zingeisha kwa mpako mmoja tu
~Selfie ingekuwa shida
~ Tungeshindwa kupiga zeze
Nyingine mtaongeza wenyewe
~Tungeshindwa kupanda ngazi
~Tungeshindwa kukumbatiana
~Tungeshindwa kupika
~Tungeshindwa kukimbia kwa kupokezana vijiti.
~Tungeshindwa kupuliza tarumbeta
~Tungeshindwa kuvaa barakoa
~Lipstick & lipshine zingeisha kwa mpako mmoja tu
~Selfie ingekuwa shida
~ Tungeshindwa kupiga zeze
Nyingine mtaongeza wenyewe