Samico Tanzania
JF-Expert Member
- Feb 6, 2022
- 791
- 1,852
Ufumbuzi wake Nini?Fundi samico nakueleza haya uyatambue.
Ukipanda juu ya mti, ghorofa au kilele kirefu ili uweze kuona pande zote za nne zinazokuzunguka utaona kila kitu kipo wazi pande zote hadi ukomo wa macho yako.
Pia Ukishuka chini ukatoswa ndani ya shimo utaona eneo pekee la kukusaidia ni pale tu ulipo simama.
Hivyo ndivyo akili ya binadamu ilivyo umbwa!
Inauwezo mkubwa sana isipowekewa mipaka na ina uwezo mdogo sana kadri inavyofungwa na mipaka.
Kikawaida matatizo siyo makubwa kama wengi wanavyodhani.
Tofauti ya matatizo na akili zetu yapo kwenye mipaka!
Matatizo yapo huru sana kutuadhibu wanadamu lakini sisi kurudisha mashambulizi uwezo huo tunao mkubwa sana lakini shida tumefungwa gereza la akili!
Naomba kurudia nahisi wachache wameelewa!
Naomba kusema kwa mfano huu!
Mtu aliyefungwa mikono na miguu akitupwa kwenye shimo la inzi wengi na kuamriwa awauwe inzi wote kwa kuwapiga kwa kichwa hakika atapambana sana lakini atajiua mwenyewe kwa kujibamiza!
Hivyo ndivyo tunavyopambana na matatizo!
Tumefungwa kwenye gereza la elimu yenye mipaka, hatuwezi kwenda zaidi ya hapo!
Mimi ni fundi umeme mipaka yangu ni mitambo iwake lakini sitakiwi kujua nini kiini cha hiyo nguvu kubwa iliyomo ndani ya atom moja ya umeme (kifungo)
Matatizo menyewe yapo kijijini kuna mtu yanampelekea giza anahitaji mwanga, lakini siwezi kumpelea huo mwanga kwasababu kifungo changu cha uelewa kinasema ni lazima niunganishe waya hadi kijijini ndipo mwanga utokee. (Gereza hili hadi wafunduzi wengine waje kunitoa)
Lakini wakati huo naambiwa ukipiga simu hapa mjini unaweza kuongea na bibi yako papo kwa papo!
Inawezekanaje sauti ifike muda huohuo kijijini muda uleule? Najibiwa ni teknolojia ya mawimbi imesafirisha sauti kupitia minara!
Nikiuliza mbona hadi ulaya inafika pia wanabadili majibu wanasema satellite n.k (nabagia gerezani sielewi nakariri hivyo maisha yana songa)
Matazo kumbuka yapo huru yanichape! Mie niko kifungoni wakati mwingine mtandao haupatikani ila matatizo hayana likizo na mtandao wake uko full network haucheki na wowote.
Labda tuwaulize wasomi! Tukikusanya wasomi wote wa nchi yetu watuundie memory card pasipo msaada wa waanzilishi.
Ninauhakika wataunda kitu cha ajabu sana na pengine wakaunda memory card kubwa kama nyumba yenye megabyte 2
Waliotuletea hizi elimu wametufunga kwenye gereza kubwa sana ambalo haliwezi kumaliza matatizo tuliyonayo!
Ninauhakika kabisa matatizo ni mepesi sana lakini mbinu tunayotumia kuyakabili ndiyo inapotezea muda!
Ni kutoka kifungoni kwanza ili uwe huru kupambana na matatizo ambayo yapo huruUfumbuzi wake Nini?
Hebu fafanua Mkuu,una maana kama ni mkulima wa Mahindi,nifikiriea kununua machine ya kusaga na kukoboa UNGA?!!Toka kifungoni kwanza
Kwanza kabisa unatakiwa utoke kwenye kifungo ndipo utaona kazi yako rasmi ambayo huhitaji kufundishwa kuifanya kwa ubora wa hari ya juu.Hebu fafanua Mkuu,una maana kama ni mkulima wa Mahindi,nifikiriea kununua machine ya kusaga na kukoboa UNGA?!!
Mbona Naona kama hii ni code ya Polishiccm na raia wake, kwamba polisi hatutakiwi kupambana nao ingawa tunawamudu chapu kwa dakikaFundi samico nakueleza haya uyatambue.
Ukipanda juu ya mti, ghorofa au kilele kirefu ili uweze kuona pande zote nne zinazokuzunguka utaona kila kitu kipo wazi pande zote hadi ukomo wa macho yako tu.
Pia Ukishuka chini ukatoswa ndani ya shimo utaona eneo pekee la kukusaidia ni pale tu ulipo simama.
Hivyo ndivyo akili ya binadamu ilivyo umbwa!
Inauwezo mkubwa sana isipowekewa mipaka na ina uwezo mdogo sana kadri inavyofungwa kwa mipaka.
Kikawaida matatizo siyo makubwa kama wengi wanavyodhania.
Tofauti ya matatizo na akili zetu yapo kwenye mipaka (limitation)
Matatizo yapo huru sana kutuadhibu wanadamu lakini sisi kurudisha mashambulizi uwezo huo tunao mkubwa sana lakini shida tumefungwa gereza la akili (mipaka)
Naomba kurudia nahisi wachache wamenielewa!
Naomba kusema kwa mfano huu!
Mtu aliyefungwa mikono na miguu akitupwa kwenye shimo la inzi wengi na kuamriwa awauwe inzi wote kwa kuwapiga kwa kichwa hakika atapambana sana lakini atajiua mwenyewe kwa kujibamiza!
Hivyo ndivyo tunavyopambana na matatizo yetu kwa njia moja tunayozani ndo kuyamudu maisha!
Tumefungwa kwenye gereza la elimu yenye mipaka, hatuwezi kwenda zaidi ya hapo!
Mimi ni fundi umeme mipaka yangu ni mwanga na mitambo iwake lakini sitakiwi kujua nini kiini cha hiyo nguvu kubwa iliyomo ndani ya atom moja ya umeme (hiki ni kifungo)
Matatizo menyewe yapo huru hadi kijijini kuna mtu yanampelekea giza anahitaji mwanga, lakini siwezi kumpelekea huo mwanga kwasababu kifungo changu cha uelewa kinasema ni lazima niunganishe waya hadi kijijini ndipo mwanga utokee. (Gereza hili hadi wafunduzi wengine waje kunitoa)
Lakini wakati huo naambiwa ukipiga simu hapa mjini unaweza kuongea na bibi yako papo kwa papo!
Inawezekanaje sauti ifike muda huohuo kijijini muda uleule? Najibiwa ni teknolojia ya mawimbi imesafirisha sauti kupitia minara!
Nikiuliza mbona hadi ulaya inafika pia wanabadili majibu wanasema satellite n.k (nabakia gerezani sielewi nakariri hivyo maisha yana songa)
Wao wanabaki na siri yao kuwa siri yao.
Matatizo kumbuka yenyewe yapo huru yanichape!
Lakini Mie niko kifungoni wakati mwingine mtandao haupatikani ila matatizo yenyewe hayana likizo na mtandao wake uko full network haucheki na wowote.
Labda tuwaulize wasomi! Tukikusanya wasomi wote wa nchi yetu watuundie memory card pasipo msaada wa waanzilishi.
Ninauhakika wataunda kitu cha ajabu sana na pengine wakaunda memory card kubwa kama nyumba yenye megabyte 2
Waliotuletea hizi elimu wametufunga kwenye gereza kubwa sana ambalo haliwezi kumaliza matatizo tuliyonayo!
Ninauhakika kabisa matatizo ni mepesi sana lakini mbinu tunayotumia kuyakabili ndiyo inapotezea muda!
Siyo kidogoInashangaza sana
Soma kwa utulivuMbona Naona kama hii ni code ya Polishiccm na raia wake, kwamba polisi hatutakiwi kupambana nao ingawa tunawamudu chapu kwa dakika
Na wengine inawakatisha sana tamaa maana ajira hawana wapo kwenye misongo ya mawazoInashangaza sana
Hahah wanasema kubeti ni.kaziNa wengine inawakatisha sana tamaa maana ajira hawana wapo kwenye misongo ya mawazo
Kwa mfano kazi ganiKwanza kabisa unatakiwa utoke kwenye kifungo ndipo utaona kazi yako rasmi ambayo huhitaji kufundishwa kuifanya kwa ubora wa hari ya juu.
Nimetoa mfano kwenye mada hapoKwa mfano kazi gani
Kubeti ni kazi lakini siyo ya wote bali ni waliofanywa maalum kwayo rejea somo!Hahah wanasema kubeti ni.kazi